Swali: Je, kuna tatizo kutawadha ukiwa umesimama, kunywa ukiwa umesimama na kukojoa ukiwa umesimama?
Jibu: Muislamu anatawadha kwa namna itakayokuwa rahisi kwake, akiwa amekaa au amesimama. Pia inajuzu kwake kunywa akiwa amesimama au amekaa. Lakini ni bora kunywa akiwa amekaa. Vivyo hivyo inajuzu kwake kukojoa akiwa amesimama ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo, kwa sharti kwamba uchi wake usionekane na mtu mwingine na asichelei kurudiwa na michirizi ya mkojo. Hata hivyo kukojoa ukiwa umekaa ni bora, kwa sababu huo ndio uliokuwa mwenendo wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mara nyingi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/202)
- Imechapishwa: 31/10/2026
Swali: Je, kuna tatizo kutawadha ukiwa umesimama, kunywa ukiwa umesimama na kukojoa ukiwa umesimama?
Jibu: Muislamu anatawadha kwa namna itakayokuwa rahisi kwake, akiwa amekaa au amesimama. Pia inajuzu kwake kunywa akiwa amesimama au amekaa. Lakini ni bora kunywa akiwa amekaa. Vivyo hivyo inajuzu kwake kukojoa akiwa amesimama ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo, kwa sharti kwamba uchi wake usionekane na mtu mwingine na asichelei kurudiwa na michirizi ya mkojo. Hata hivyo kukojoa ukiwa umekaa ni bora, kwa sababu huo ndio uliokuwa mwenendo wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mara nyingi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/202)
Imechapishwa: 31/10/2026
https://firqatunnajia.com/kutawadha-kwa-kusimama-au-kwa-kukaa/