Swali: Je, hapana vibaya kuongeza kuosha mikono wakati wa wudhuu´ mpaka kwenye makwapa na kuosha miguu mpaka kwenye magoti?
Jibu: Kuosha mikono mpaka kwenye makwapa wakati wa wudhuu´ ni kuzidisha katika dini. Vivyo hivyo kuosha miguu mpaka kwenye magoti. Kilichowekwa kisheria ni kuosha mikono pamoja na viwiko, na miguu pamoja na vifundo vya miguu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/202)
- Imechapishwa: 31/10/2026
Swali: Je, hapana vibaya kuongeza kuosha mikono wakati wa wudhuu´ mpaka kwenye makwapa na kuosha miguu mpaka kwenye magoti?
Jibu: Kuosha mikono mpaka kwenye makwapa wakati wa wudhuu´ ni kuzidisha katika dini. Vivyo hivyo kuosha miguu mpaka kwenye magoti. Kilichowekwa kisheria ni kuosha mikono pamoja na viwiko, na miguu pamoja na vifundo vya miguu.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/202)
Imechapishwa: 31/10/2026
https://firqatunnajia.com/huku-ni-kuchupa-mipaka-katika-wudhuu/