Kutawadha Kwa Kumtaja Allaah Chooni

Swali: Inajuzu kwa mtu anayetaka kutawadha kutaja jina la Allaah chooni mahali pa kukidhia haja?

Jibu: Ndio, Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) anaonelea kuwa anatakiwa kutaja jina la Allaah kwa kuwa ni wajibu kumtaja Allaah. Kwa hivyo atawadhe kwa kumtaja Allaah hata kama yuko chooni. Anatakiwa kutekeleza wajibu wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
  • Imechapishwa: 26/12/2016