623 – Nilimsikia Ahmad akiulizwa kuhusu mwenye kutapika katika Ramadhaan. Jibu lake lilikuwa:

”Ambaye yatamshinda matapishi basi halazimiki kulipa. Na ambaye atajitapisha basi ni lazima kwake kulipa.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 130
  • Imechapishwa: 21/03/2021