Swali: Nikipotewa na kitu chenye thamani ndani ya msikiti, je, inafaa kwangu kukitangaza ndani ya msikiti kwa sababu nina uhakika kuwa kimenipotea ndani ya msikiti?
Jibu: Hapana, haijuzu kufanya hivo ndani ya msikiti. Toka nje ya msikiti na utangaze. Yafanyike nje ya msikiti, na si ndani ya msikiti.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 27/02/2022
Swali: Nikipotewa na kitu chenye thamani ndani ya msikiti, je, inafaa kwangu kukitangaza ndani ya msikiti kwa sababu nina uhakika kuwa kimenipotea ndani ya msikiti?
Jibu: Hapana, haijuzu kufanya hivo ndani ya msikiti. Toka nje ya msikiti na utangaze. Yafanyike nje ya msikiti, na si ndani ya msikiti.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
Imechapishwa: 27/02/2022
https://firqatunnajia.com/kutangaza-kitu-chenye-thamani-kilichopotea-msikitini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)