Swali: Mtu aliyesilimu akiwa mkubwa, baada ya kufikisha miaka arobaini, na ikawa ni jambo gumu kwake kutahiriwa kwa sababu ya umri wake, je, Sunnah hii inaondoka kwake?
Jibu: Ikiwa tohara itakuwa ni jambo gumu kwake baada ya kusilimu kwa sababu ya umri wake mkubwa, basi inaondoka kwake. Kwa msemo mwingine hatalazimishwa kuifanya, kwa kukhofia kwamba jambo hilo linaweza kuwa sababu ya kutokuingia kwake katika Uislamu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/115-116)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali: Mtu aliyesilimu akiwa mkubwa, baada ya kufikisha miaka arobaini, na ikawa ni jambo gumu kwake kutahiriwa kwa sababu ya umri wake, je, Sunnah hii inaondoka kwake?
Jibu: Ikiwa tohara itakuwa ni jambo gumu kwake baada ya kusilimu kwa sababu ya umri wake mkubwa, basi inaondoka kwake. Kwa msemo mwingine hatalazimishwa kuifanya, kwa kukhofia kwamba jambo hilo linaweza kuwa sababu ya kutokuingia kwake katika Uislamu.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/115-116)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/kutahiriwa-kwa-aliyesilimu-akiwa-na-miaka-40/