Swali 9413: Je, tohara ni sharti miongoni mwa masharti ya kusihi kwa Uislamu?
Jibu: Tohara ni miongoni mwa Sunnah za kimaumbile kwa wanaume na kwa wanawake. Inawapasa wenye kulingania kwa Allaah (Subhaanah) kupuuza kuzungumzia tohara wakati wa kuwalingania makafiri katika Uislamu ikiwa jambo hilo litamfanya achukie kuingia katika Uislamu. Kwa sababu Uislamu na ´ibaadah vinakuwa sahihi bila kutahiriwa. Baada ya Uislamu kutulizana moyoni mwake, atatambua kuwa tohara imesuniwa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/116)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali 9413: Je, tohara ni sharti miongoni mwa masharti ya kusihi kwa Uislamu?
Jibu: Tohara ni miongoni mwa Sunnah za kimaumbile kwa wanaume na kwa wanawake. Inawapasa wenye kulingania kwa Allaah (Subhaanah) kupuuza kuzungumzia tohara wakati wa kuwalingania makafiri katika Uislamu ikiwa jambo hilo litamfanya achukie kuingia katika Uislamu. Kwa sababu Uislamu na ´ibaadah vinakuwa sahihi bila kutahiriwa. Baada ya Uislamu kutulizana moyoni mwake, atatambua kuwa tohara imesuniwa.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/116)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/uislamu-wa-mtu-unasihi-kama-hakutahiriwa/