Swali: Kutahadharisha na kuwazindua watu na khaswa khaswa wale wasiokuwa na elimu juu ya mapote na makundi kama haya kunazingatiwa ni katika kusengenya?

Jibu: Hapana, huku kunazingatiwa ni kutoa nasaha na sio kusengenya. Huku ni kutoa nasaha kwa ajili ya Allaah, Mtume Wake, Kitabu Chake, viongozi wa waislamu na watu wa kawaida. Hii ni nasaha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 28/01/2018