Kutafuta tafsiri ya ndoto mbaya ya miaka miwili

Swali: Je, mtu ajaribu kutafuta tafsiri ya ndoto mbaya anayoendelea kuiota kwa muda wa mwaka au miwili miwili?

Jibu: Hapana, haina msingi.

Swali: Hata kama itaendelea?

Jibu: Haina msingi. Haijalishi kitu hata kama itaendelea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23376/هل-استمرار-الرويا-بالمنام-مدة-طويلة-له-دلالة
  • Imechapishwa: 05/01/2024