Kuswali ndani nyumba au maeneo ambayo choo kinaelekea Qiblah

Swali: Ikiwa choo kiko upande wa Qiblah cha mwenye kuswali katika vila, ukumbi au ua – Je, swalah inasihi kuelekea huko?

Jibu: Swalah inasihi na hapana neno katika hilo. Kinachokatazwa ni kuswali ndani ya choo chenyewe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/230)
  • Imechapishwa: 01/03/2026