Swali: Je, inafaa kuswali ndani ya nguo ikithibiti kuwa imetiwa manukato yaliyo na pombe?
Jibu: Ikiwa pombe hiyo ni yenye kubaki na manukayo hayo, haijuzu. Lakini hapana vibaya ikiwa pombe hiyo inapotea na kuondoka pamoja na yale manukato.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 25/07/2024
Swali: Je, inafaa kuswali ndani ya nguo ikithibiti kuwa imetiwa manukato yaliyo na pombe?
Jibu: Ikiwa pombe hiyo ni yenye kubaki na manukayo hayo, haijuzu. Lakini hapana vibaya ikiwa pombe hiyo inapotea na kuondoka pamoja na yale manukato.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 25/07/2024
https://firqatunnajia.com/kuswali-na-nguo-iliyopuliziwa-manukato-ya-pombe/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket