Swali: Kuna mtu anahisi kufanya haja baada ya kwamba ameshaingia ndani ya swalah. Je, inafaa kwake kuikata?

Jibu: Akihitaji kuikata aikate. Akichelea haja itamshinda nguvu basi aikate.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 26/07/2024