Swali: Vipi ikiwa ni sehemu ambako ngamia hukaa, lakini ikahama, kwa maana ngamia wakahamishwa kutoka mahali hapo?
Jibu: Iwapo mahali hapo pamebadilishwa na haina tena sifa ya kuwa sehemu ya ngamia, kama vile ikafanywa mahali pa kukaa, ikaondolewa, ikasafishwa au ikawekwa udongo mpya na kuondoa athari zake, basi imebadilika.
Swali: Lakini ikiwa ni jangwani, kisha akahamisha ngamia wake kabisa kutoka sehemu hiyo?
Jibu: Maadamu athari za sehemu ya ngamia bado zipo, basi hukumu inabaki ileile. Lakini ikiwa zimeondolewa au upepo umesomba athari hizo, basi haizingatiwi tena kuwa sehemu ya ngamia.
Swali: Je, airudie swalah yake iwapo ameswali mahali hapo?
Jibu: Ndio, arudie swalah, kama mtu aliyeswali kwenye jalala.
Swali: Vipi ikiwa alisahau?
Jibu: Hukumu ni hiyohiyo hata ikiwa amesahau.
Swali: Vipi sehemu za ng’ombe na kondoo?
Jibu: Hakuna tatizo, sehemu za ng’ombe na kondoo hazina ubaya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31608/ما-حكم-الصلاة-في-اماكن-كانت-معاطن-ثم-تركت
- Imechapishwa: 08/11/2025
Swali: Vipi ikiwa ni sehemu ambako ngamia hukaa, lakini ikahama, kwa maana ngamia wakahamishwa kutoka mahali hapo?
Jibu: Iwapo mahali hapo pamebadilishwa na haina tena sifa ya kuwa sehemu ya ngamia, kama vile ikafanywa mahali pa kukaa, ikaondolewa, ikasafishwa au ikawekwa udongo mpya na kuondoa athari zake, basi imebadilika.
Swali: Lakini ikiwa ni jangwani, kisha akahamisha ngamia wake kabisa kutoka sehemu hiyo?
Jibu: Maadamu athari za sehemu ya ngamia bado zipo, basi hukumu inabaki ileile. Lakini ikiwa zimeondolewa au upepo umesomba athari hizo, basi haizingatiwi tena kuwa sehemu ya ngamia.
Swali: Je, airudie swalah yake iwapo ameswali mahali hapo?
Jibu: Ndio, arudie swalah, kama mtu aliyeswali kwenye jalala.
Swali: Vipi ikiwa alisahau?
Jibu: Hukumu ni hiyohiyo hata ikiwa amesahau.
Swali: Vipi sehemu za ng’ombe na kondoo?
Jibu: Hakuna tatizo, sehemu za ng’ombe na kondoo hazina ubaya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31608/ما-حكم-الصلاة-في-اماكن-كانت-معاطن-ثم-تركت
Imechapishwa: 08/11/2025
https://firqatunnajia.com/kuswali-mahali-ambayo-yalikuwa-ni-makazi-ya-ngamia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket