Swali: Vipi ikiwa mkeka anaoswali juu yake una picha?

Jibu: Haidhuru, lakini kunakhofiwa kumchanganya. Ni kama mfano wa michoro. Bora mkeka ukiwa mtupu ili asishawishike.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24807/هل-تجوز-الصلاة-على-سجادة-بها-صورة
  • Imechapishwa: 13/12/2024