Kusukutua mdomo baada ya chakula

Swali: Je, ni Sunnah kusukutua mdomo?

Jibu: Ni bora na inapendeza. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hivo. Mtu afanye hivo kwa ajili ya kuondosha yale mabaki yaliyomo mdomoni yasimuudhi akiwa ndani ya swalah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23994/هل-المضمضة-بعد-الاكل-سنة
  • Imechapishwa: 09/08/2024