Kusujudu juu ya nguo bila ya dharurah

261 – Nilimuuliza kuhusu hukumu ya kusujudu juu ya nguo bila ya haja?

Jibu: Bora zaidi ni kugusa ardhi moja kwa moja.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 98
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´