Swali: Je, inajuzu kusimulia Hadiyth-ul-Qudsiy kimaana?
Jibu: Hapana. Hadiyth-ul-Qudsiy ni katika maneno ya Allaah, sawa matamshi na maana yake. Ni kama mfano wa Qur-aan. Ni lazima kuisimulia kwa matamshi na maana yake.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4743
- Imechapishwa: 01/05/2015
Swali: Je, inajuzu kusimulia Hadiyth-ul-Qudsiy kimaana?
Jibu: Hapana. Hadiyth-ul-Qudsiy ni katika maneno ya Allaah, sawa matamshi na maana yake. Ni kama mfano wa Qur-aan. Ni lazima kuisimulia kwa matamshi na maana yake.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4743
Imechapishwa: 01/05/2015
https://firqatunnajia.com/kusimulia-hadiyth-ul-qudsiy-kimaana-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)