Swali: Ipi hukumu ya kusikiliza Qur-aan na kusoma Adhkaar naye yuko katika janaba?
Jibu: Kusikiliza Qur-aan na kusoma Adhkaar hakuna ubaya inajuzu. Ila Qur-aan asiisome naye yuko katika janaba.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://olamayemen.al3ilm.net/Default_ar.aspx?ID=4863
- Imechapishwa: 19/01/2023