Swali: Yule ambaye anasikiliza kanda ya Ahl-ul-Bid´ah au anasoma vitabu vyao kwa malengo ya kujua yale waliyomo. Je, mtu kama huyu anaingia katika wale wanaokaa na Ahl-ul-Bid´ah?
Jibu: Ni kama kukaa nao, au baya zaidi kuliko kukaa nao. Lakini ikiwa ni mjuzi na ni mtu mwenye elimu, akasikiliza na kuvisoma ili avipige Radd na kutahadharisha, hakuna ubaya kufanya hivyo. Ama ikiwa hana elimu wala Baswiyrah, anataka kusoma na kusikiliza, hili halijuzu. Kwa kuwa anaingia katika tuliowataja. Na hana kitu kinachomlinda navyo. Haijuzu kwake kusikiliza hali ya hana kinachomlinda na sumu na labaa ziliomo ndani yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaa
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=Kp4E83KiE30
- Imechapishwa: 20/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)