Kushurutisha Hajj yake kwa kuchelea hedhi

Swali: Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa mwanamke kushurutisha Hajj yake akichelea kupata ada yake ya mwezi?

Jibu: Hapana. Hedhi sio sababu. Hedhi ni kitu cha kawaida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 19/01/2020