79 – Abu Shaybah ´Abdul-´Aziyz bin Ja´far al-Khawaarzamiy ametuhadithia: Ja´far bin Muhammad as-Swaa’igh ametuhadithia: ´Amr bin ´Iysaa bin Yuunus ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa al-Ahwas bin Hakiym, kutoka kwa Habiyb bin Suhayb, kutoka kwa Abu Tha´labah al-Khushaniy aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) huwatazama waja Wake katika kila usiku wa nusu Sha´baan ambapo akawasamehe waumini, akawapa muhula makafiri na akawaacha wenye chuki na chuki zao mpaka waachane nazo.”
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 160
- Imechapishwa: 04/05/2020
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
79 – Abu Shaybah ´Abdul-´Aziyz bin Ja´far al-Khawaarzamiy ametuhadithia: Ja´far bin Muhammad as-Swaa’igh ametuhadithia: ´Amr bin ´Iysaa bin Yuunus ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa al-Ahwas bin Hakiym, kutoka kwa Habiyb bin Suhayb, kutoka kwa Abu Tha´labah al-Khushaniy aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) huwatazama waja Wake katika kila usiku wa nusu Sha´baan ambapo akawasamehe waumini, akawapa muhula makafiri na akawaacha wenye chuki na chuki zao mpaka waachane nazo.”
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 160
Imechapishwa: 04/05/2020
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-usiku-wa-nusu-ya-shabaan-kupitia-upokezi-wa-abu-thalabah-al-khusaaniy-02/