55 – Abu Bakr bin ´Abdillaah bin Muhammad bin Ziyaad ametuhadithia: ´Abbaas bin Muhammad bin Haatim bin Shabaabah ametuhadithia: Yuunus bin Abiy Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Muslim al-Agharr aliyesema:
“Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy wameshuhudia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), na mimi nashuhudia kwamba wamesema, kuwa Allaah (´Azza wa Jall) anawapa muhula mpaka kunapopita theluthi ya kwanza ya usiku ndipo hushuka katika mbingu ya chini ya dunia. Kisha anaamrisha milango ya mbingu inafunguliwa kish anasema mpaka alfajiri inaingia: “Je, kuna mwenye kuomba nimpe? Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe? Je, kuna mwenye kutaka msaada nimsaidie? Je, kuna aliye na dhiki nimwondolee dhiki yake? Anafanya hivo katika kila usiku kisha anapanda tena juu.”
Yuunus bin Abiy Ishaaq ameongeza ziada nzuri.
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 133
- Imechapishwa: 12/03/2020
55 – Abu Bakr bin ´Abdillaah bin Muhammad bin Ziyaad ametuhadithia: ´Abbaas bin Muhammad bin Haatim bin Shabaabah ametuhadithia: Yuunus bin Abiy Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Muslim al-Agharr aliyesema:
“Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy wameshuhudia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), na mimi nashuhudia kwamba wamesema, kuwa Allaah (´Azza wa Jall) anawapa muhula mpaka kunapopita theluthi ya kwanza ya usiku ndipo hushuka katika mbingu ya chini ya dunia. Kisha anaamrisha milango ya mbingu inafunguliwa kish anasema mpaka alfajiri inaingia: “Je, kuna mwenye kuomba nimpe? Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe? Je, kuna mwenye kutaka msaada nimsaidie? Je, kuna aliye na dhiki nimwondolee dhiki yake? Anafanya hivo katika kila usiku kisha anapanda tena juu.”
Yuunus bin Abiy Ishaaq ameongeza ziada nzuri.
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 133
Imechapishwa: 12/03/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-saiyd-na-abu-hurayrah-04/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)