22- Muhamamd bin Ismaa´iyl al-Qaariy ametuhadithia: Ahmad bin ´Abdil-Wahhaab bin Muhammad ametuhadithia: Abul-Mughiyrah ametuhadithia: al-Awzaa´iy amenihadithia: Yahyaa amenihadithia: Abu Salamah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Hurayrah ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah hushuka kila usiku katika mbingu ya dunia pindi kunapopita nusu ya usiku au theluthi yake na anasema mpaka alfajiri inaingiai: “Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniombaye nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”[1]
[1] Muslim (758).
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 106
- Imechapishwa: 18/12/2019
22- Muhamamd bin Ismaa´iyl al-Qaariy ametuhadithia: Ahmad bin ´Abdil-Wahhaab bin Muhammad ametuhadithia: Abul-Mughiyrah ametuhadithia: al-Awzaa´iy amenihadithia: Yahyaa amenihadithia: Abu Salamah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Hurayrah ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah hushuka kila usiku katika mbingu ya dunia pindi kunapopita nusu ya usiku au theluthi yake na anasema mpaka alfajiri inaingiai: “Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniombaye nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”[1]
[1] Muslim (758).
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 106
Imechapishwa: 18/12/2019
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-10/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)