Swali: Ni ipi hukumu ya kushirikiana na makundi ya Kiislamu ambayo kuna uwezekano baadhi ya wanachuoni wamewasifu na wanajinasibisha na Ahl-us-Sunnah kwa jumla?
Jibu: Usiangalie matapo ya yeyote. Tazama mfumo wa kundi hilo; unaafikiana na Qur-aan na Sunnah au hapana?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 15/07/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)