Swali 767: Vipi kuhusu ambaye anaona aibu kukemea maovu na kusema kwamba kuona haya ni katika imani?

Jibu: Huko si katika kuona haya. Huko ni kushindwa na khofu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 256
  • Imechapishwa: 10/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´