Swali: Nimesoma makala ambayo mwandishi wake ameipa jina “Lutwfu Allaahi bil-Khalq”1 ambapo mwandishi wake amekariri na kusema kuwa Ahl-us-Sunnah ndio kundi lililo karibu na haki. Ameyanasibisha maneno haya kwako. Tumetatizwa na hilo. Je, hili ni sahihi?
Jibu: Ahl-us-Sunnah ndio watu wa haki na si kwamba ndio watu walioko karibu na haki. Ahl-us-Sunnah ndio watu wa haki. Ikiwa ana ushahidi kuwa nilisema haya aniletee tuone. Ama kumnasibishia tu mtu kitu bila ya dalili haijuzu. Ahl-us-Sunnah ndio watu wa haki na si kusema kuwa ndio watu walio karibu na haki.
[1] Tazama https://sh-yahia.net/show_art_15.html
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)