Kusafirisha chakula cha mbwa na paka

Swali: Nafanya kazi ya uendeshaji ambapo nasafirisha chakula cha mbwa na paka. Chakula hicho kinakuwa na nyama ya nguruwe au mafuta ya nguruwe. Je, inafaa kwangu kufanya kazi hiyo?

Jibu: Tafuta kazi nyingine. Kazi ziko nyingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 10/01/2024