Swali: Inajuzu kwangu kusafiri kwenda katika miji ya makafiri kwa ajili ya utalii peke yake kwa kuzingatia ya kwamba nitajiepusha na zile sehemu za fitina?
Jibu: Haijuzu kusafiri kwenda katika miji ya makafiri isipokuwa tu kwa sababu ya matibabu, biashara au kwa ajili ya kumtembelea ndugu miongoni mwa ndugu zako kwa lengo la kuunga udugu. Hizi hazina neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17479
- Imechapishwa: 25/11/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket