Kusafiri kwa lengo la kuoa kisha baadaye kuacha

Swali: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa nia ya kumuoa mwanamke kisha baadaye kumtaliki?

Jibu: Kikosi cha wanazuoni wengi wanaona kuwa hapana vibaya. Lakini bora na tahadhari zaidi ni kuacha kufanya hivo kwa ajili ya kutoka nje ya makinzano ya wale walioharamisha hilo[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/kuoa-kwa-nia-ya-talaka-ni-kumhadaa-mwanamke

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/حكم-السفر-من-اجل-الزواج-بنية-الطلاق
  • Imechapishwa: 19/01/2023