Swali: Je, kuna ubaya na imeruhusiwa kusoma Qur-aan makaburini, sio kwa ajili ya kuwasomea maiti, bali ni pale kunapokuwa na wakati wa kusubiri jeneza ndipo nikarudilia yale niliyoyahifadhi?
Jibu: Haitakikani kufanya hivi. Kwa kuwa huku ni kufungua mlango pale ambapo mtu atakusikia aje kusema kuwa kusoma Qur-aan makaburini ni jambo linalojuzu[1]. Usisome makaburini.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/tofauti-iliyopo-juu-ya-kusoma-qur-aan-makaburini/
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
- Imechapishwa: 24/07/2020
Swali: Je, kuna ubaya na imeruhusiwa kusoma Qur-aan makaburini, sio kwa ajili ya kuwasomea maiti, bali ni pale kunapokuwa na wakati wa kusubiri jeneza ndipo nikarudilia yale niliyoyahifadhi?
Jibu: Haitakikani kufanya hivi. Kwa kuwa huku ni kufungua mlango pale ambapo mtu atakusikia aje kusema kuwa kusoma Qur-aan makaburini ni jambo linalojuzu[1]. Usisome makaburini.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/tofauti-iliyopo-juu-ya-kusoma-qur-aan-makaburini/
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
Imechapishwa: 24/07/2020
https://firqatunnajia.com/kurudilia-hifdhi-ya-qur-aan-makaburini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket