Kurudia swalah alizokuwa mtu anaswali makosa

274 – Nilimuuliza kwa nini Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumuamrisha yule aliyeswali vibaya katika swalah yake kurudia swalah zilizopita?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimpa udhuru kwa sababu ya ujinga wake.

275 – Vipi ikiwa hivi sasa tutaona hali kama hiyo?

Jibu: Mtu kama yeye anapewa udhuru. Dhahiri ya Hadiyth inaonesha kuwa hakuamrishwa kurudia swalah zilizopita.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 100
  • Imechapishwa: 16/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´