Swali: Tunawaona ma-Khawiyb wengi wanarefusha sana Khtubah ya ´iyd…
Jibu: Ndio, hivi ndivo walivyo. Hawashikamani na Sunnah. Sunnah haiwatoshi. Hawashikamani na Sunnah. Wala hawataji hukumu zilizofungamana na Khutbah. Wanaleta maneno ya kijumla na njia zisizowafaidisha watu, kuwaudhi watu na kuwachosha. Hili ni jambo linaenda kinyume na Sunnah. Maneno ya Khutbah yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yalikuwa ni machache tu, yaliyobarikiwa na mazuri. Alikwua harefushi Khutbah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
- Imechapishwa: 30/05/2019
Swali: Tunawaona ma-Khawiyb wengi wanarefusha sana Khtubah ya ´iyd…
Jibu: Ndio, hivi ndivo walivyo. Hawashikamani na Sunnah. Sunnah haiwatoshi. Hawashikamani na Sunnah. Wala hawataji hukumu zilizofungamana na Khutbah. Wanaleta maneno ya kijumla na njia zisizowafaidisha watu, kuwaudhi watu na kuwachosha. Hili ni jambo linaenda kinyume na Sunnah. Maneno ya Khutbah yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yalikuwa ni machache tu, yaliyobarikiwa na mazuri. Alikwua harefushi Khutbah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
Imechapishwa: 30/05/2019
https://firqatunnajia.com/kurefusha-khutbah-ya-iyd/