Swali: Ni ipi hukumu ya kupiga dufu wakati wa harusi?
Jibu: Haina neno. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) aliamrisha hilo. Aliamrisha wanawake kupiga dufu ili ndoa iweze kujulikana. Imependekezwa kwa wanawake kupiga dufu katika mazingira ya kike na wawe wao kwa wao. Hata hivyo haitakiwi kuimba kwenye kipaza sauti au kusikilizwa kwenye redio. Inatakiwa iwe sauti za wanawake tu miongoni mwao. Haina neno. Ni njia ya kutangaza ndoa na ni katika Sunnah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta’mmulaat fiy Aakhir Suurat-il-Ahzaab, uk. 427
- Imechapishwa: 21/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kupiga dufu wakati wa harusi?
Jibu: Haina neno. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) aliamrisha hilo. Aliamrisha wanawake kupiga dufu ili ndoa iweze kujulikana. Imependekezwa kwa wanawake kupiga dufu katika mazingira ya kike na wawe wao kwa wao. Hata hivyo haitakiwi kuimba kwenye kipaza sauti au kusikilizwa kwenye redio. Inatakiwa iwe sauti za wanawake tu miongoni mwao. Haina neno. Ni njia ya kutangaza ndoa na ni katika Sunnah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ta’mmulaat fiy Aakhir Suurat-il-Ahzaab, uk. 427
Imechapishwa: 21/09/2020
https://firqatunnajia.com/kupiga-dufu-bila-ya-kipaza-sauti-wala-redio/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)