Kupeana mkono na kukaa chemba na bibi wa kambo

Swali: Je, inafaa kwa mtu kupeana mkono na kuwa faragha na mke wa babu yake ambaye si bibi yake?

Jibu: Ndio, udhahiri ni kwamba inafaa.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 594
  • Imechapishwa: 31/07/2025