3 – Nikamuuliza kuhusu hukumu ya kumsalimia kafiri kwa kupeana mkono?

Jibu: Hapana shida ikiwa kuna haja ya kufanya hivo au yeye amekupea mkono.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 31
  • Imechapishwa: 18/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´