Swali: Kuna mwanaume ameokoa maisha ya mwanamke ambaye ni ajinabi kwake kwa kumpa damu. Je, anahesabika ni dada yake?

Jibu: Hapana. Hili ni kwa mtazamo wa wasiokuwa wasomi ndio wanaona kuwa anakuwa kaka yake. Hili ni kwa mujibu wa wasiokuwa wasomi. Hawi kaka yake isipokuwa kwa kunyonya ndani ya ile miaka miwili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/08/2018