Swali: Kuna mtu amepangusa kwenye soksi zake zilizo chini ya mafundo mawili ya miguu na haziyafuniki. Ameswali Dhuhr kwa soksi hizo. Ni ipi hukumu ya swalah hii?
Jibu: Hukumu ni kwamba swalah sio sahihi. Ni lazima kwake airudi. Kwa kuwa haifai kupangusa kwenye kilicho chini ya mafundo ya miguu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-1-30.mp3
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Kuna mtu amepangusa kwenye soksi zake zilizo chini ya mafundo mawili ya miguu na haziyafuniki. Ameswali Dhuhr kwa soksi hizo. Ni ipi hukumu ya swalah hii?
Jibu: Hukumu ni kwamba swalah sio sahihi. Ni lazima kwake airudi. Kwa kuwa haifai kupangusa kwenye kilicho chini ya mafundo ya miguu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-1-30.mp3
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/kupangusa-kwenye-soksi-fupi-zisizofunika-mafundo-ya-miguu/