Kijana amemwingilia mke wake mara tano Ramadhaan

Swali: Kuna kijana ameoa hivi karibuni na amemwingilia mke wake mchana wa Ramadhaan mara tano kwa kila siku moja mara moja. Lipi linalomlazimu?

Jibu: Linalomlazimu ni yeye kutoa kafara kwa kila siku moja afunge miezi miwili mfululizo. Huyu bado ni kijana mchangamfu – Mashaa Allaah – na swawm haitokuwa gumu kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-1-30.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020