Swali: Makatazo haya[1] kunaingia pia dari na kuta na kupetuka mipaka katika kupamba?
Jibu: Maoni ya karibu zaidi na usawa – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – inachukiza ikiwa ni kwa ajili ya kupamba. Hapana vibaya ikiwa [mapazia yamefunika] dari kutokana sababu zingine. Ni kama ambavo mtu anaezeka kwa mawe, mbao au kitu kingine. Lakini ukuta, ikiwa mtu amefanya hivo kwa ajili ya mapambo, hili ndio linachukiza.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/machukizo-ya-kufunika-mapazia-ukutani/
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23868/حكم-تزيين-السقف-والجدران
- Imechapishwa: 23/05/2024
Swali: Makatazo haya[1] kunaingia pia dari na kuta na kupetuka mipaka katika kupamba?
Jibu: Maoni ya karibu zaidi na usawa – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – inachukiza ikiwa ni kwa ajili ya kupamba. Hapana vibaya ikiwa [mapazia yamefunika] dari kutokana sababu zingine. Ni kama ambavo mtu anaezeka kwa mawe, mbao au kitu kingine. Lakini ukuta, ikiwa mtu amefanya hivo kwa ajili ya mapambo, hili ndio linachukiza.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/machukizo-ya-kufunika-mapazia-ukutani/
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23868/حكم-تزيين-السقف-والجدران
Imechapishwa: 23/05/2024
https://firqatunnajia.com/kupamba-dari-na-ukuta-kwa-mapazia/