Swali: Ni ipi hukumu ya kuosha vijiwe kwa ajili ya kuvirusha?

Jibu: Hakuna dalili juu ya hilo. Ni jambo limetajwa na baadhi ya wanachuoni, lakini hata hivyo halina dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 05/04/2020