Kuosha nguo na mahali palipopatwa na madhiy

Swali: Mimi ni mwanamume natokwa na madhiy mara kwa mara. Nikitokwa na madhiy kisha nikaosha dhakari yangu nioshe nguo zangu kwa sababu kitendo hicho kinakuwa kigumu kwangu?

Jibu: Ndio, ni lazima uoshe. Kwa sababu madhiy ni najisi. Lakini najisi yake ni nyepesi. Kwa hivyo inatosha kunyunyizia maji. Madhiy najisi yake ni khafifu. Lakini ni lazima uoshe dhakari yako na uke wako. Kutokana na maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliposema:

“Osha dhakari yako na uke wako.”

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/85/%D9%8A%D9%83%D9%81%D9%8A-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B0%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%B6%D8%AD-%D9%84%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%BA%D8%B3%D9%84
  • Imechapishwa: 04/01/2020