Swali: Je, inajuzu kuchukua pesa kwa ajili ya kumuosha maiti?

Jibu: Ndio, inajuzu. Lakini kule kutarajia thawabu ni bora kuliko kupokea pesa. Lakini ikiwa yeye hawezi kumuosha maiti mpaka kwa pesa achukue na hapati thawabu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020