Swali: Je, kuonja chakula kunaharibu swawm?
Jibu: Mtu akionja chakula swawm yake haiharibiki midhali hakumeza. Lakini mtu asifanye hivo isipokuwa kama kuna haja ya kufanya hivo. Katika hali hii kukiingia kitu tumboni mwako pasi na kukusudia swawm yako haiharibiki.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (01/356-357)
- Imechapishwa: 11/06/2017
Swali: Je, kuonja chakula kunaharibu swawm?
Jibu: Mtu akionja chakula swawm yake haiharibiki midhali hakumeza. Lakini mtu asifanye hivo isipokuwa kama kuna haja ya kufanya hivo. Katika hali hii kukiingia kitu tumboni mwako pasi na kukusudia swawm yako haiharibiki.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (01/356-357)
Imechapishwa: 11/06/2017
https://firqatunnajia.com/kuonja-chakula-mchana-wa-ramadhaan-kunaharibu-swawm/