Swali: Je, inafaa kuondoa uchawi kwa kutumia uchawi mwingine?
Jibu. Hapana, haijuzu. Uchawi unatibiwa kwa Qur-aan, madawa ya halali na du´aa. Ama kwa kutumia uchawi haifai. Alipoulizwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu an–Nushrah akajibu:
“ Ni katika matendo ya shaytwaan.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22741/ما-حكم-معالجة-السحر-بسحر-مثله
- Imechapishwa: 12/08/2023