620 – Aliulizwa kuhusu kuondoa nywele kati ya nyusi?

Jibu: Hakuna ubaya. Hilo halihusiani na kuchonga nyusi (النمص).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 220
  • Imechapishwa: 13/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´