Swali 185: Ni ipi hukumu ya kuondoa kilichofunika kichwa ili kunyeshewa na mvua?

Jibu: Hakuna ubaya kwa hilo. Imekuja katika Hadith ya Anas kwa Muslim:

“… akavua nguo yake ili mpaka apatwe na mvua.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 83
  • Imechapishwa: 05/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´