Swali: Ni ipi hukumu ya baadhi ya watu kusema huku wakiapa “Kwa uhai wa Mola wetu” na kusema “Ee uso wa Allaah”?
Jibu: Kusema “Kwa uhai wa Mola wetu” ni kuapa kwa sifa ya Allaah, jambo ambalo linajuzu. Ama kusema “Ee uso wa Allaah”, haijuzu kwa sababu ni kuomba sifa. Bali inaweza kuwa kufuru na kuritadi, kama alivyosema Shaykh-ul-Islaam. Ni kama mtu kusema: “Ee rehema ya Allaah, nirehemu!” au “Ee uwezo wa Allaah, niokoe!” na mfano wa hayo. Kwa hiyo jambo la msingi ni kwamba haijuzu kuomba sifa ya Allaah kwa namna hii.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 25/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya baadhi ya watu kusema huku wakiapa “Kwa uhai wa Mola wetu” na kusema “Ee uso wa Allaah”?
Jibu: Kusema “Kwa uhai wa Mola wetu” ni kuapa kwa sifa ya Allaah, jambo ambalo linajuzu. Ama kusema “Ee uso wa Allaah”, haijuzu kwa sababu ni kuomba sifa. Bali inaweza kuwa kufuru na kuritadi, kama alivyosema Shaykh-ul-Islaam. Ni kama mtu kusema: “Ee rehema ya Allaah, nirehemu!” au “Ee uwezo wa Allaah, niokoe!” na mfano wa hayo. Kwa hiyo jambo la msingi ni kwamba haijuzu kuomba sifa ya Allaah kwa namna hii.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 25/09/2026
https://firqatunnajia.com/kuomba-sifa-ya-allaah-ni-kufuru-na-kuritadi/