Swali: Ni mambo gani yanayomsaidia muislamu kupata unyenyekevu ndani ya swalah yake?
Jibu: Ni kuhudhurisha moyoni ukubwa wa Allaah, kutafakari Qur-aan, Adhkaar za swalah na kupambana na nafsi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 25/09/2026
Swali: Ni mambo gani yanayomsaidia muislamu kupata unyenyekevu ndani ya swalah yake?
Jibu: Ni kuhudhurisha moyoni ukubwa wa Allaah, kutafakari Qur-aan, Adhkaar za swalah na kupambana na nafsi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 25/09/2026
https://firqatunnajia.com/mambo-ya-kukusaidia-kuwa-na-unyenyekevu-ndani-ya-swalah/