Swali: Jana tumesoma maneno ya Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) ya kwamba maji ya baridi yanaufanya mwili kuwa na nguvu. Je, hii ina maana kwamba mwenye kuoga maji ya baridi anakuwa na uchangamfu na nguvu na hivyo yamependekezwa?

Jibu: Ndio, bila shaka yoyote, ikiwa baridi inaweza kustahamiliwa. Ni sawa. Ama ikiwa baridi inamtia matatani na khatarini, haijuzu kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 28/12/2019