Swali: Ipi hukumu ya kuandika Aayah maalumu za Ruqyah kama al-Faatihah na nyinginezo (katika karatasi) na kuweka kwenye maji ya zafarani akikususudia kukoga na kunywa maji hayo mgonjwa? Je, kitendo hichi ni sahihi?
Jibu: Hili limeruhusiwa na baadhi ya Salaf, kama alivyosema Ibn al-Qayyim (Rahimahu Allaah) katika kitabu chake “Zaad al-Ma´aad” na “at-Twib-un-Nabawiy”. Kasema ya kwamba, baadhi ya Salaf walikuwa wanafanya hivi, kwa kuwa hili linaingia katika Ruqyah ya Kishari´ah. Atakayefanya hakuna neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=Q_VOJmGyikw
- Imechapishwa: 25/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket